NEWS

Kwa Heri Desmond Tutu

Aliyekuwa Askofu wa kwanza mweusi wa kanisa la Anglicana (Askofu Desmond Tutu) nchini Afrika kusini, ambaye aliyesaidia katika kupinga na kukomesha ubaguzi wa rangi nchini humo Amefariki dunia akiwa na miaka 90.

RIP Bishop Desmond Tutu

Leave a Comment