“Tunasikitika kupokea taarifa za kutwaliwa kwa mtumishi wa MUNGU aliyewahi kuwa Askofu mkuu kanisa la TAG, na mchungaji kiongozi wa kanisa la CCC UPANGA Askofu/Prof. RANWEL Mwenisongole (1946-2021).
Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao. Kuvuna Mavuno ya Nchi.
The former arch bishop of Tanzania Assemblies of God (TAG) and the senior pastor of CCC Upanga in Dar es salaam is no longer with us! This happened today 25th, December2021.These are the saddest news but we have to thank God.
Job 1;21
And said, Naked came I out of my mother’s womb, and naked shall I return thither: the Lord gave, and the Lord hath taken away; blessed be the name of the Lord.

Bishop Mwenisongole 1946-2021