BOOKS

Vitabu vya Mwl. Deogratius Kessy

Mwl. Deogratius Kessy ni Nani?
Mwl. Deogratius Kessy ni mwalimu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali ambaye amejitoa kugusa maisha ya watu wengine kupitia mafundisho na maandiko yake mbalimbali anayoendelea kuandika kwenye vitabu na blogu yake.


Mbali na vitabu, pia ni mwandishi wa makala za kufundisha na kuhamasisha anazoandika kila siku kupitia tovuti yake ya KESSY DEO yaani https://kessydeo.home.blog  kupitia kundi la MIMI NI MSHINDI NIMEZALIWA KUSHINDA linalopatikana kwenye mtandao wa wasapu mwandishi anaendelea kutoa mafundisho yake huko kila siku  lakini pia anaandika makala za kuelimisha kupitia mtandao wa www.amkamtanzania.com ambao unaendeshwa na mwandishi Kocha Dr.Makirita Amani. Na mtandao wa FALSAFA YA USTOA TANZANIA na kupata mafunzo zaidi ya falsafa ya ustoa tembelea https://ustoa.substack.com


Vitabu ambavyo mwandishi ameandika ni kama ifuatavyo;


Nakala ngumu (Hard copy)
1. Ijue Njaa Ya Wanandoa ( Kwa Nini unavumilia maisha ya ndoa badala ya kufurahia?) Bei ya kitabu hiki ni 15000/= unatumiwa popote pale ulipo. 

Vitabu vya nakala laini (Soft copy)

1. Funga na Utajiri na Kuupa Umasikini Talaka Bei ya kitabu hiki ni 5000/=

2. Ongea Lugha Yako, Sauti Yako Ya Ndani Ndiyo Mafanikio Yako Ya Kweli.Bei ni elfu 5

3. Kwanini Msamaha,
Ni wakati wa kupata uponyaji wa nafsi kupitia Msamaha wa kweli bei ni elfu 5.

4. Mabadiliko 250 Ya UshindiBei 5000/ 

5. Ijue Njaa Ya Wanandoa, je,  unavumilia maisha ya ndoa au unafurahia? shilingi 10000 nakala laini na nakala ngumu ni 15000 unatumia popote pale ulipo. 

6. Kwanini Umezaliwa Kushinda? 5000  (Ushindi Huwa Unaanza na Kuanza

Vyote vipo katika mfumo wa sof copy unatuma malipo kwenda namba 0717101505 au 0767101504 na kutumiwa kitabu au unaingia moja kwa moja kwenye duka la vitabu online getvalue.com

Vitabu hivi unavisoma kwenye simu yako ukiwa na Adobe Acrobat reader, tablets au pc na unatumiwa kwa njia ya email yako baada ya kufanya malipo unatuma email kisha unatumiwa kitabu chako.

Mawasiliano ya Mwandishi:
Hivyo basi, mwandishi anaishi kusudi la maisha yake ambalo ni kuwasaidia watu kuwa na maisha bora kupitia kazi anazofanya. Unaweza kuwasiliana na mwandishi kupitia namba za simu +255717101505 // +255767101504. Au kwa barua pepe deokessy.dk@gmail.com.

Leave a Comment