BOOKS

Vitabu Vya GODIUS RWEYONGEZA

GODIUS RWEYONGEZA Ni Nani?

Ni mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali ambaye amejikita katika kuhakikisha anatimiza  kusudi lake la kuwafanya watu wawe na maisha bora na  kupiga hatua kubwa kimaisha kupitia kazi zake.

Amekuwa akifanya hivi kupitia maandishi yake, semina na  mafunzo anayotoa kwa watu na taasisi mbalimbali.

Mtandao wake wa SONGA MBELE umeweza kuwasaidia wengi kubadili maisha yao na kuchukua hatua za kipekee maishani mwao.

Maandishi yake pia yamechapwa kwenye magazeti mbalimbali hapa Tanzania.

Mpaka sasa GODIUS RWEYONGEZA ameandika vitabu zaidi ya 16 ambavyo ni 

VITABU VYA NAKALA NGUMU (Hardcopies)

Hivi ni vitabu ambavyo unaweza kuvipata kwa mfumo wa nakala ngumu.

1. KUTOKA SIFURI MPAKA KILELENI; Tengeneza Kesho Bora Kwa Kuanzia Hapo Ulipo- 10,000/-

2. JINSI YA KUFIKIA NDOTO ZAKO; Kesho Yako Iko Mikononi Mwako- 20,000/-

Kupata nakala ngumu wasiliana na mwandishi kwa 0755848391. Kitabu chako kitatumwa na kukufikia popote pale ulipo Afrika Mashariki. 

VITABU VYA NAKALA LAINI (SOFT COPIES)
Hivi ni vitabu ambavyo unaweza kuvipata kwa mfumo wa nakala laini (PDF na EPUB) na kusoma kwenye simu, tablet au kompyuta yako.

Vitabu hivi vya nakala laini unaweza pia kuvipata kwa KUBONYEZA HAPA au kwa kuwasiliana na mwandishi kupitia baruapepe ya songambele.smb@gmail.com au simu 0755848391.

3. JINSI YA KUWA MWANDISHI MBOBEVU NDANI YA SIKU 30; Kila Kitu Unachohitaji Kujua Kuhusu Uandishi Wa Vitabu Na Makala-6500/-

4. AKILI YA DIAMOND: Mambo 50 Ya kujifunza Kutoka Kwa Msanii Diamond Platnumz Kuhusu Kipaji, Ubunifu Na Mafanikio-6,000/-

5. TATIZO SI RASILIMALI ZILIZOPOTEA; Tatizo Ni RasilimaliWatu Tunaowapoteza-10,000/-

6. JINSI YA KUIBUA UBUNIFU ULIO NDANI YAKO-7,000/-

7. TOFAUTI 50 KATI YA MATAJIRI NA MASIKINI-5,000/-

8. MAAJABU YA KUSOMA VITABU (Toleo la 2)- 5,000/-

9. MAAJABU YA KUWEKA AKIBA-9,000/-

10. MAAJABU YA KUWEKEZA KWENYE HISA, HATIFUNGANI NA VIPANDE-5,000/-

11. BARUA YA WAZI KWA WAZAZI NA WALEZI WA WATOTO-5,000-

12. NYUMA YA USHINDI: Kuna Kushindwa, Kushindwa, Kushindwa.
-5,000/-

13. SEKTA 11 ZA KUTENGENEZA MAMILIONI YA FEDHA TANZANIA-4,000/-

14. MAKOSA 10 WANAYOFANYA WAKULIMA NA JINSI YA KUYAEPUKA ILI KUTENGENEZA FEDHA ZAIDI-10,000/-

15. KAMA UNATAKA KUWA TAJIRI; Mbinu Za Kutengeneza Utajiri Popote Pale Ulipo -4,000/-

16. MAMBO 55 YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZISHA BIASHARA-6,500/-

Vitabu hivi vya nakala laini (soft copies) unaweza kuvipata kwenye mtandao wa GET VALUE kwa KUBONYEZA HAPA

AU  kwa kuwasiliana na mwandishi kupitia barua pepe ya songambele.smb@gmail.com au kwa simu 0755848391

Leave a Comment