Pastor George Mlela ni Mwandishi wa Vitabu, na Mchungaji katika Kanisa la Rejoice Worship Center Lililopo jijini Dar es Salaam, Tanzania.
VITABU ALIVYOANDIKA HADI SASA.
1. Jifahamu Jinsi Ulivyo
2. Kanuni za Mafanikio ya Uchumi Ki-Biblia
3. Taswira ya Kanisa la Leo
NAMNA YA KUVIPATA:
Simu: +255 (0) 745578736
Barua pepe: mlelazeservant@gmail.com