BOOKS

Lazaro Samwel Books

Lazaro Samwel ni Nani?

Lazaro Samwel ni Kocha Wa Maisha,Mwandishi Wa Vitabu vinavyohusiana na Biashara,Ujasiriamali pamoja na Maendeleo Binafsi. Ni Mwanzilishi wa Akili Ya Ushindi Academy ambayo amekuwa akiitumia kuendeshea Mafunzo mbalimbali kwa wafanyabiashara juu ya kuongeza mauzo.

VITABU ALIVYOANDIKA MPAKA SASA.

  1. MWONGOZO KATIKA MAFANIKIO (Hard Copy-15,000/= /Soft Copy- 10,000/=)
  2. NGUZO 3 ZA MAISHA (Hard Copy-10,000/= – 5000/=)
  3. UKWELI USIOPENDA KUUSIKIA (Hard Copy – 20,000/= / 15,000/=)
  4. SAFARI YA MAFANIKIO (Soft Copy – 8,000/=)
  5. BIASHARA NA UJASIRIAMALI (soft Copy – 10,000/=)
  6. MISEMO 231 YA KUKUBADILI KIMAISHA (soft Copy – 5,000/=)
  7. MISEMO 101 YA KUKUBADILI KIUCHUMI ( soft Copy – 5,000/=)
  8. NYUNDO 170 ZA HEKIMA Toleo La 1 (Soft Copy – 13,000/=)
  9. NYUNDO 170 ZA HEKIMA Toleo La 2 (Soft Copy – 13,000/=)
  10. WHATSAPP YENYE FAIDA (soft Copy – 10,000/=)

KUPATA VITABU VYA LAZARO SAMWELI WASILIANA NAE KWA

SIMU: 0678010334 / 0753616584

BARUA PEPE: lazaro@akiliyaushindi.co.tz

Leave a Comment