BOOKS

Joel Nanauka Books

Joel Nanauka ni Nani?

Joel Nanauka ni Kocha wa Maisha, Mnenaji na Mwandishi wa Vitabu. Ni Mkurugenzi wa Africa Success Academy. Joel Ni Mwandishi wa Vitabu Mbalimbali na Kimojawapo maarufu kama “TIMIZA MALENGO YAKO”.

Vitabu Alivyoandika Mpaka Sasa.

Vilivyo katika mfumo wa softcopy yaani ebooks ambavyo ni kama ifuatavyo.

1. Money Formula ~ 5,000 tzsh

2.Muongozo wa mafanikio ~ 4,000tzsh

3.Core genius ~ 6,000tzsh

4.surviving the Crisis ~ 5,000tzsh

5.Jinsi ya kufanikiwa katika nyakati ngumu ~ 5,000tsh

6.Mbinu za kujenga ujasiri na kujiamini ~ 4,000tzsh

7.saikolojia ya mteja ~ 7,000tzsh

8.Hatua sita za kujiajiri ~ 7,000tzsh

9.Jinsi ya KUONDOKANA na MADENI ~ 4000

10.Mbinu za kuongeza kipato chako ~ 9000

11.Mafanikio ya kifedha kwa wanandoa ~ 5000

11.Nifanye Biashara Gani ~ 5000

12.Mwanamke na Biashara ~ 4000

13.Jinsi ya kupona maumivu ya kihisia ~ 4000

14.Nguvu ya marafiki ~ 4000

15.Nguvu ya maono – 4000

16.Kiongozi wa tofauti – 4000

17.Siri 12 za wanafunzi bora ndani ya chumba cha mtihani ~. 2000

18.mbinu 8 za kufaulu mitihani kwa kiwango cha juu – 2000

19.Mbinu za kufanikisha Ndoto yako katika nyakati ngumu – 4000

20.Strategy, jinsi ya kupata matokeo makubwa ndani ya mwaka mmoja – 5000

21.Aina 5 za watu unaowahitaji ili kutimiza maono yako ~ 4000

22.Timiza malengo personal workbook ~ 5000

23.Ufanisi kazini – 5000

Vitabu  vinatumwa kwa njia ya WhatsApp au email.

Kupata Vitabu hivi Wasiliana na 0756094875 TIMIZA MALENGO BOOKSHOP

VITABU VILIVYOPO KWENYE NAKALA NGUMU (Hardcopy.)

 1. Timiza malengo yako – 15,000
 2. Ishi ndoto yako – 15,000
 3. Tabia 12 zinazoleta mafanikio – 10,000
 4. Nguvu ya mwanamke – 10,000
 5. Mbinu za kufanikisha ndoto yako katikati ya changamoto – 3,000
 6. Uzalendo na ujenzi wa Taifa – 3,000
 7. Ishinde Tabia ya kughairisha mambo – 5,000
 8. Ongeza kipato Chako – 10,000
 9. Core genius – 7000
 10. Money formula – 7000
 11. Nifanye Biashara gani – 7000
 12. Mafanikio ya kifedha kwa wanandoa – 7000.

Kupata Vitabu hivi Wasiliana na 0756094875 TIMIZA MALENGO BOOKSHOP

MITANDAO YA KIJAMII

Instagram @joelnanauka_

Facebook @jnanauka

Youtube @JoelNanauka

Twitter @Jnanauka

7 Comments

Leave a Comment