Jacob Mushi ni Nani?
Jacob Mushi ni Mwandishi wa Vitabu vya Maisha na Mafanikio, Kocha wa Maisha, na Mjasiriamali. Ni Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kampuni ya NETPOA. Ameandika Vitabu mbalimbali na Kimojawapo maarufu kama “Usiishie Njiani”. Maisha ya Watu wengi Sana Yameguswa na Kubadilishwa kutokana na Maandiko yake mbalimbali.

VITABU ALIVYOANDIKA HADI SASA.
1. USIISHIE NJIANI (Amazon Kindle Edition) (HARDCOPY & SOFTCOPY) Tsh 5,000/=
2. NUKUU ZA MAISHA (SOFTCOPY) Tsh 10,000/=
3. SIRI 7 ZA KUWA HAI LEO (SOFTCOPY) Tsh 10,000/=
4. MAFANIKIO KWENYE BIASHARA (SOFTCOPY)Tsh 10,000/=
5. MBINU 101 ZA MAFANIKIO (Amazon Paperback) (SOFTCOPY) Tsh 10,000/=
NAMNA YA KUPATA VITABU HIVI
Simu/WhatsApp: +255 654 726 668
Email: jacob@jacobmushi.com
Website: www.jacobmushi.com
MITANDAO YA KIJAMII
Facebook: Jacob Mushi
Link: https://facebook.com/JcbMushi
Instagram: Jacob Mushi
Link: https://www.instagram.com/jacobmushi
Twitter: Jacob Mushi